Msaada kuhusu PES kwny PC

now inafunguka pes lakin haijai screen nzima inafunguka nusu
Right click hiyo pes kisha open file location kisha fungua settings alafu set screen weka 1024×768 na vitu vingine kama utahitaji.
Jaribu hivo kama itakubali. Pia unaweza kujaribu kufanya auto adjust kwenye screen yako.
 
Ww cheza tu kwenye PS cku ukishika pad na mm bingwa ILALA
Utaeleza kwann mkuu wa mkoa anaitwa BASHITE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom