Msaada kuhusu Openbox V9S Xtreamtv

nelson15

Senior Member
May 17, 2018
109
74
Naombeni kujuzwa ubora na matumizi ya Openbox V9S Xtreamtv
IMG_20191010_110712_595.jpeg
 
Hii ni decoda ya Wathauthi nadhani ni ya malipo kama dstvenga wewe unataka usaidiwe nini?
 
Kujua kama inaweza kutumika kwa tanzania
Hiyo ni FTA decoder, na unaweza kutumia hata hapa tza.

utapata channels za fta iwapo utatafuta na kuseti uwelekeo wa satellite yenye fta channels.
 
Nahitaji live TV links kwa format ya M3u8 kama naweza pata sehemu ndugu zangu
 
Nahitaji live TV links kwa format ya M3u8 kama naweza pata sehemu ndugu zangu
1. Install bluestack kwenye kompyuta

2. Install apps zinazoonyesha livestreaming mfano azam,itv nk.

3. Kisha download software inaitwa bitzanalyzer.

Hii software ina-track packets na kisha kuonyesha links.

4. Fungua moja ya tv na kisha fungua bitzanalyzer

Hapo utaona link ya tv.
 
Back
Top Bottom