Msaada kuhusu One Plus 8 pro (S20 Utra/Note 20 Utra)

Wote hatuwezi tukawa na simu aina moja. Kuna watu wanapenda simu kwa kuzingatia status, gharama, kamera, video, battery life, matumizi, security, warranty, n.k. Hapa mabishano ni kama ya Simba na Yanga. Hizi chini ni review za specifications. Lakini kuna reviewers wengi Youtube wanaoweza kukupa mwangaza wa simu, lakini uwe makini, wengi wako biased, review nzuri itatoka kwako mwenyewe mtumiaji.

Screenshot_20210612-075147_Chrome.jpg
Screenshot_20210612-075208_Chrome.jpg
Screenshot_20210612-075223_Chrome.jpg
Screenshot_20210612-075231_Chrome.jpg
Screenshot_20210612-075239_Chrome.jpg
Screenshot_20210612-075247_Chrome.jpg
Screenshot_20210612-075256_Chrome.jpg
 
Mi ninayo Oppo A9 (2020), very amazing, display safi, Kamera nzuri, sound yake hasa unaposikiliza mziki ni bomba sana, kwa simu ambazo nilisha wahi kutumia, imenifurahisaha sana, halafu niliinunua tu kutaka kupata flavour tofauti na simu zilizozoeleka nikajikuta naipenda kuliko maelezo.
Oppo ni simu na nusu
 
Back
Top Bottom