Msaada kuhusu NGO

Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,944
1,487
Habari! Wakuu napenda niende moja kwa moja kwenye shida yangu.

Kwa ufupi tu Kuna NGO ndogo ina member kama si chini ya 11 hivi moja kazi zake ni kujihusisha zaidi na matatizo ya jamii na kujiweka karibu na jamii hasa kwa hii sehemu inapopatikana,sasa nimekuja hapa kuomba msaada kwa wale wemye uzoefu au expert wa haya mambo katika swala zima ni SOFTWATE gani zaidi tunaweza tumia katika maswala ya financial na transaction mbali mbali katika NGO hii maana ndo kwanza inaanza au kama mtu ana sample ya Template ya EXCEL ya hii kitu kwa pande zote Budgeting, Operating, reporting,Income and Expenditure itakuwa vizuri zaidi. Ahsanteh
 
NGO yenu iko wapi? Kuna open source software kwa ajili ya NGOs ambazo zinaweza kufanya hizo kazi. Kama ipo Dar au maeneo ya jirani naweza kuwasaidia kuconfigure bila gharama .
 
Habari! Wakuu napenda niende moja kwa moja kwenye shida yangu.

Kwa ufupi tu Kuna NGO ndogo ina member kama si chini ya 11 hivi moja kazi zake ni kujihusisha zaidi na matatizo ya jamii na kujiweka karibu na jamii hasa kwa hii sehemu inapopatikana,sasa nimekuja hapa kuomba msaada kwa wale wemye uzoefu au expert wa haya mambo katika swala zima ni SOFTWATE gani zaidi tunaweza tumia katika maswala ya financial na transaction mbali mbali katika NGO hii maana ndo kwanza inaanza au kama mtu ana sample ya Template ya EXCEL ya hii kitu kwa pande zote Budgeting, Operating, reporting,Income and Expenditure itakuwa vizuri zaidi. Ahsanteh
Mkihitaji MTU was kuwaandalia Project proposal tuonane
 
Ninaweza,kinachohitajika ni maelezo ya kina kuhusiana na eneo linapotakiwa kufanyika mradi,ukubwa wa tatizo,idadi ya watu wenye mahitaji.mambo mengine nitakuwa nakuuliza kadri kazi ya kuandika inavyokwenda.
 
Back
Top Bottom