msaada kuhusu nafasi za kazi MUDA , zilizotangazwa na temesa hapo feri , mwezi huu wa 9/2019 .

sio ajabu

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
217
138
habari wakuu ,
naomba kuuliza kuhusiana na habari hapo juu,
hivi mfano just nikiapply still bado nipo mwaka wa 2 hapa DIT ,japo ku apply nafasi ya mkata tiketi je, wanaweza ni consider japo kwa zile za night shift ? maana requirement na meet .
 
Umekosea sana ilifaa uje na mkabala wa hilo tangazo kisha ndio uulize maswali, asa sijui huo msaada utaupata wapi
 
Back
Top Bottom