Msaada Kuhusu Nafasi za Kazi Exim Bank Tanzania

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wadau nimepitia katika tovuti ya Exim nimekuta kuna kazi mpyaa lakini nina wasi wasi huenda zikawa za zamani. Naomba wenye ndugu au marafiki huko watujuze kibaya zaidi hazina deadline kinyume kabisa na Taratibu za Matangazo ya Kazi. Nimejaribu kupiga number yao +255 784 107 600 Bila mafanikio.

ZIPO HAPA Exim bank - Carriers
 
Mkuu nimejaribu kufatilia lakini nimeshindwa kuelewa maana hata hawajaandika mwisho wa kuapply ni lini. Pia nimejaribu kuangalia nijue tangazo limewekwa lini lakini pia sijafanikiwa. Ngoja watalaamu waje watuambie
 
Katika Website nimeona Last Updated in December ndo nikastuka!
 
Halafu mijitu ina View tuu bila kutoa mawazo hapa nimeona views 90 iko busy ina apply tuu watanzania aisee hebu ulizeni hata kwa hiyo number tujue
 
Back
Top Bottom