Omarion emmyriano
Member
- Sep 7, 2018
- 94
- 30
Habarini umu ndani, nimatumaini yangu muwazima wa afya.
Naomba nijuzwe je ikiwa marehemu ameacha watoto wawili na baada ya msiba ikafahamika alikuwaga na mtoto mwengne alieza nje ya ndoa, je mtoto uyo wa nje ya ndoa ataesabika katika kurithi?