Msaada kuhusu mikopo HESLB

Hamis Zmc

Member
Aug 25, 2016
48
27
Wadau mimi naomba mkopo bodi ya mkopo, nina stashahada, kuna sehem ya ku apload cheti cha diploma, napenda kuuliza cheti hiki kinakua original au copy ambayo ni certified?! Nawapigia bodi ya mikopo hawapokei sim wiki tatu sasa
 
Nenda kwenye web yao wametoa maelekezo yote tatizo ni uvivu wa kutatua changamoto kwa kusoma tu maelekezo
 
Back
Top Bottom