msaada kuhusu memory card | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kuhusu memory card

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mkonya, Sep 9, 2012.

 1. m

  mkonya Senior Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wakuu nimejarbu ku restore factory settings kwenye nokia c3-00 lakini cha ajabu kurudisha memory card inaniambia niweke password,naomba msaada kwa hili
   
 2. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hyo ina njia 2 kwanza uwe na pasword za memory card... Kama sio hvyo tafuta smartphone kama nokia n81, n82 n96 au e seriz... Smartphone znauwezo wa ku4mart phone kama ina pascode
   
 3. m

  mkonya Senior Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  memorycard cjaiwekea password,ila imetoke baada ya kurestore factory settings
   
 4. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Yap. It means hapo kuna mtu kawah kuweka pasword
   
 5. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Yap. It means hapo kuna mtu kawah kuweka pasword.

  Maana memory card ukiweka pasword haita kuulza pasword kwenye hyo cmu labda kwenye cmu nyngne... Mpaka ukirestore... Solution ni kutafuta smartphone u4mart ukipata n seriez au e seriez n mzuka
   
 6. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Na mimi ninayo ya kwangu 4 GB nikitaka kuformat inaniambia right protected tatizo linaweza kuwa nini? Nilishawahi kuweka password kwenye simu nyingine ambayo bado ipo nifanyeje kuondoa hilo tatizo?
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  chomoa memory card weka kwenye mchina kisha format, tatizo kushney
  mchina hakuna cha right protected wala password
   
 8. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mh! Hyo n cmu gani... Na imekaa kwa hal hyo kwa muda gani?
   
 9. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mwanzo ilikuwa sumsung original two lines na sasa ikataka niweke kwenye simu ya mchina Nokia X7, nimejaribu kuiformat kwa kutumia computer bado inaniambia right protected
   
Loading...