Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Habari za saizi ndugu zangu naomba kwanza nieleze shida yangu kwa ufupi ipo hivi na pc yangu ya hp notebook gen 9 processor ni 2.3 hadi 3.2 tatzo lake upande wa kudownload inakuwa na speed ndogo yaan kitu cha mb 3 kinaweza tumia hadi saa 1.
Nije kwenye swali ipo hivi niliwahi kudownload mega app kwenye pc na nikainstall flesh tu tatizo likaja upande wa kudownload yaan unadownload speed inakuwa fresh tu shida inakuwa kuipata hiyo firmware uliyoidownload yaan nashidwa kuiona kabisa kama kuna mtu anajua kuapata firmware uliyodownload kwenye mega naomba msaada maana na shidwa kabisa.
Pili leo nimeinstall download manager mzigo umekubali nimejaribu kudownload nyimbo baaz speed nimeona ipo sawa sasa. Nataka nijaribu kudownload app(microsoft office 2019) kabla sijapoteza mb je haina compication zozote kipind cha kutafuta apps?
Maana nimeona kipind cha kidownload file inataka udownload ndan ya application ila kwenye nyimbo zilikuwa zinashuka tu. Samahanini kwa maelezo kama hayaeleweki na kiswahili kama nikibovu