Msaada kuhusu manunuzi kikuu

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Wadau Naomba msaada Wenu juu ya Kampuni hii ya KIKUU TZ, nahitaji kununua. Kitu onliNe kupItia kikuu lkn kabla. Sijafanya hivyo naomba kujua kwa aliyewahi kuagiza kitu na Akafanikiwa, ki ukweli nimeshindwa kuwaelewa hawa wauzaji wa vifaa kupitia Kikuu, unakuta kitu ni kzr lkn bei yake ndogo ukilinganisha na specification zake. Nahitaji kupata ushuhuda toka kwa aliyewahi kuagiza.

Hilo moja, la pili ni ukichagua kitu na ukataka kuLipia kuna option nne, MPESA, MPESA ONLINE, TIGO PESA, TIGO PESA ONLINE NA AIRTEL MONEY. je hizo online ni huduma za namna gani?

Natanguliza shukrani
 
Agiza mkuu hawana shida kabsa, mzigo wako utaupata bila tatizo, Weka pesa kupitia MPESA, au AIRTEL MONEY, kisha fanya malipo kwa njia ya MPESA fasta.
 
Wadau Naomba msaada Wenu juu ya Kampuni hii ya KIKUU TZ, nahitaji kununua. Kitu onliNe kupItia kikuu lkn kabla. Sijafanya hivyo naomba kujua kwa aliyewahi kuagiza kitu na Akafanikiwa, ki ukweli nimeshindwa kuwaelewa hawa wauzaji wa vifaa kupitia Kikuu, unakuta kitu ni kzr lkn bei yake ndogo ukilinganisha na specification zake. Nahitaji kupata ushuhuda toka kwa aliyewahi kuagiza.

Hilo moja, la pili ni ukichagua kitu na ukataka kuLipia kuna option nne, MPESA, MPESA ONLINE, TIGO PESA, TIGO PESA ONLINE NA AIRTEL MONEY. je hizo online ni huduma za namna gani?

Natanguliza shukrani

Mzigo unafika kabisa bila tatizo.
Shida ni ubora wa vitu vyao, soma review kabla ya kununua.

Ukiona kitu kizuri na kina bei ya chini sana (isiyolingana na kitu chenyewe) kaa mbali utaletewa Toy.

Vitu vyenye wasiwasi kununua
- Simu (nyingi ni used)
-Simu Mpya ni clone za mwisho kabisa.
-Mavazi ( size zitakutesa).
-pochi za kinadada (acha Kabisa)
-Smart Watch (bora za kariakoo, zina features za uongo)

Vitu unavyoweza kununua.
-Headphones
-Saa
-Toy za watoto
-Taa za kuua mbu
-Cover za simu
-Memory card (copy)
-flash disk (copy)
-Hereni na cheni za kimachinga
-Accessories ndogondogo ambazo sio complex.
Vitu vyote hivi utapata vyenye ubora wa chini kabisa ama copy za copy za copy.
 
Copy za copy
Hahahahahah
 
Mmmmh simu ina gb12 ram na gb256 rom halafu unaikuta inauzwa 170000 kweli? haya si mauza uza kweli hicho tu ndo kimenishtua,
 
Vipo vingi vya kustaajabisha huko. Hiyo simu ukiagiza unaletewa kitu tofauti kabisa 🤣🤣🤣🤣😏😏

Unaweza kuinunua kama Toy
 
Yapo matoy Kwa ajili ya watoto

Kua makini unaweza nunua toy ukidhani ni simu

Ukitaka kununua simu hakikisha unaingiza jina la hiyo simu Google ili ujua kama ni official ili u press order yko

Umakini ni muhimu pia jaribu kupitia customer reviews na seller rating

Ili uweze kupata bidhaa bora Kwa uaminifu.

Back
Top Bottom