Msaada:Kuhusu mambo ya biology. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Kuhusu mambo ya biology.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by queenkami, Jan 17, 2012.

 1. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wakuu heshima Kwenu.

  Naomba kwa anayejua kwa uhakika/aliyesomea mambo haya anipe ufafanuzi juu ya maswali yangu hapo chini.

  1)Tuchukulie mfano kuwa,mwanamke ambaye ni Bisexual ametoka kufanya mapenzi bila condom na mwanaume halafu baada ya kama dakika kumi hivi akiwa hajajisafisha zile manii kutoka kwa mwanaume akaendelea kufanya mapenzi ya kisagaji na mwanamke mwenzie ambaye yuko katika siku zake za kutunga mimba.

  SWALI:JE HUYU MWANAMKE ALIYEKO KATIKA SIKU ZAKE ZA KUSHIKA MIMBA ANAWEZA KUPATA UJAUZITO?

  2)Tuchukue mfano kuwa,mwanamke mwenye ujauzito wa mapacha wenye kushare yai moja(identical twins) ambaye anatarajiwa kujifungua wakati wowote yuko porini akitembea kwa miguu pekee yake porini halafu ghafla uchungu ukamshika ghafla,baada ya kuhangaika mwenyewe mwanamke huyo akafanikiwa kujifungua mtoto mmoja halafu mara tu baada ya mtoto kutoka mwanamke huyo akapoteza fahamu HAPO HAPO kitovu cha mtoto kikiwa bado hakijakatwa na akiwa bado ana mtoto mwingine yuko tumboni.

  SWALI:JE KUNA UWEZEKANO WA MTOTO ALIYEKO TUMBONI KUPONA?
  KAMA JIBU NI HAPANA:KWANINI?
  KAMA JIBU NI NDIO:MUDA GANI UNGEZIDI MTOTO HUYO ALIYEKO TUMBONI ANGEKUFA?
  B:JE KUNA SABABU ZOZOTE KUTOKANA NA MAMA KUPOTEZA FAHAMU ZINAZOWEZA KUSABABISHA UMAUTI WA MTOTO ALIYEZALIWA KWANZA?

  SWALI:JE KUTOKATWA KWA KITOVU CHA MTOTO ALIYEZALIWA KWA MUDA FULANI MAMA AKIWA AMEZIMIA KUNAWEZA KUSABABISHA TATTIZO LOLOTE KWA MTOTO HUYO ALIYEZALIWA?

  ThANKS IN ADVANCE.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,923
  Likes Received: 2,071
  Trophy Points: 280
  Interesting!...ngoja tusubirie majibu kutoka kwa wajuvi wa haya mambo.
   
 3. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nimekuja mbio nilidhani nishapata jibu lkn ucjali kaka tuko pamoja.
   
Loading...