Kikubwa nafikiri hawa wanyama wanapendelea maji yasiyo na chumvi (mto na ziwa).Japo kuna documentary moja niliwahi kuona kuna mamba wanaishi kwenye bahari huko nchini Australia
Duuh; nikijibu mamba wana elegy na maji ya chumvi nitakuwa nimempoteza mwanangu au?
Wataalam wa wanyama nafikiri wa wanaweza kutuja zaidi juu ya hili