S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,616
- 32,722
Achana na wwnaokuzodoa mimi nakupongeza kwa kukaba hiyo penalti kwanza.
Kazi kwanza mambo mengine baade
Kazi kwanza mambo mengine baade
Wewe hutakuwa ukifanya hizo kazi zako za fitter, ila utapingiwa majukumu kwenye emergency team. Na wewe hautokuwa na zamu(watch) za kuangalia upande kwenye upande wa injini au deck(uongozaji) meli ikiwa safarini au bandari.Nimesoma mandaratory corse ya ubaharia pia nimepata ajira ya kudumu shida ilikuwa kujua kma Kuna zaidi naenda kwenye meli kma crew member
Hapo hapo naomba kukuuliza swali,Ni kozi ambayo nikiisoma short course itakuwa rahisi kwangu kupata kazi melini,nina taaluma yangu nyingine ambayo ni umeme,Nimesoma mandaratory corse ya ubaharia pia nimepata ajira ya kudumu shida ilikuwa kujua kma Kuna zaidi naenda kwenye meli kma crew member
ebwana eti nikitaka kazi za melini nianzie wapi,taaluma yangu umemeUmepata kazi ya kudumu(utakuwa mmoja wa Crew wa Meli ?) au? Hiyo kazi itakuwa alipewa Agent wa Mwenye Meli atafute mtu ndio kakutafuta wewe na kakutafuta wewe ili ale cha Juu kama kawaida yetu! Kiuhalisia Kama wewe hujui hata hata maana ya hilo neno huna vigezo na hiyo kazi.
Mambo ya connection hayo,mtu sifa hana ila amekingiwa kifua na sasa ame-cover nafasi ya mtu mwenye sifa ambaye yupo mtaani anahangaika na alitumia gharama na muda wake kusoma.Hapo aliyekupa hiyo ajira ajitafakari
Kasome kozi za awali za ubaharia( mandatory course) hapo utakuwa na uwezo wa kufanya kazi katika meli yoyote kama baharia wa kawaida.ebwana eti nikitaka kazi za melini nianzie wapi,taaluma yangu umeme
Nenda DMI( Dar es Salaam Maritime Institute) pale kuna Kozi ambazo ni Mandatory lwa fami yako ya umeme lazima usome ili uweze kupata Boarding Pass(Hati ya kukiruhusu kufanya kazi melini). Ukienda pale utapata maelekezo yoteeebwana eti nikitaka kazi za melini nianzie wapi,taaluma yangu umeme
Shukrani sana kwa ushauri wakoNenda DMI( Dar es Salaam Maritime Institute) pale kuna Kozi ambazo ni Mandatory lwa fami yako ya umeme lazima usome ili uweze kupata Boarding Pass(Hati ya kukiruhusu kufanya kazi melini). Ukienda pale utapata maelekezo yotee