Msaada kuhusu magonjwa ya mbuzi

Nakushukuru mnoo nisamehe kwa kuchelewa kujibu nilipata barikiwa sanaa mkuu
Mungu akubariki sana na kukujaalia kila lililo jema ktk uugaji wako na uongezeke kwa kadiri ya mapenzi mema ya Mungu.
Nikuombe usaidie na wengiene ktk hilo la utibabu wa mifugo.
 
Habarini za kutwa ndugu zangu, mnaoanza ufugaji, mlio ktk ufugaji tayari, na hutuwasahao wale wanaoanza kufikiria jinsi ya kuingia ktk ufugaji.
Niwaombeni niwakumbusheni kitu hapa kidogo,hali ya hewa imekuwa sio rafiki kabisa kwa mifugo yetu kwa sasa,1 Jua ni kali sana,2 Malisho yamepunguwa sana,3Uhaba wa maji umekuwa mkubwa sana, sasa ndugu wafugaji hapa ndipo changamoto inapotupata basi tunapashwa kuangalia vyema na kwa umakini mkubwa huu ukame tunasonga nao vipi kwa sasa.
Kwa malisho tunaweza kwenda kununuwa haya majani maalumu yanayotengenezwa na kutayarishwa toka kwenye mashamba ya malisho ya mifugo,Mf kwasisi wa Dar na Pwani tunaweza kwenda VIKUGE Kongowe ya mlandizi, utayapata majini hayo yanasaidia sana kwa kipindi hichi cha ukame, bila kusahau Molasisi kwaajili ya kuwachanganyia Mifugo yetu ktk majani hayo.
Kuhusu hii hali ya Mvua kidogo tunayoipata kwa sasa ningewashauri mujitayarishe na magonjwa ya kuhara maana majani haya mabichi Mifugo huwa inayapenda sana na kuyala kwa wingi lakini huwa mara nyingi yanawaletea kuharisha sana hasa Mbuzi na Ngombe.
Usaharu msikoe kuwa na magadi ktk hifadhi yenu ya dawa za mifugo, msikose kuwa na Dawa za kuzuia au kutibu kuharisha na mawasiliano ya VET wako kwa karibu maana kuhara huwa kunaondoa mfugo haraka sana. Nijambo lirahisi kulisema ila niligumu sana hasa ukikuta mfugo umesha harisha kama siku 3 huwa inakuwa mbaya sana, nazungumza hivi kutokana na uzoefu wangu ktkt ufugaji na nakubali kukoselewa pale nilipo pakosea ktk usahauri wangu huu.
Mungu awabariki nyote na kuwaongezea kila lililo jema ktk ufugaji wenu, uzao uongezeke.
 
Asante sana kwa hili pia naomba kuuliza ayo magadi unawapaje kwa mbuzi? unawapa walambe au unafanyaje

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kwa hili pia naomba kuuliza ayo magadi unawapaje kwa mbuzi? unawapa walambe au unafanyaje

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobHabari za kutwa, Magadi kuna njia 3 za kuwapa Mbuzi. 1, unaweza wachanaganyia kwenye pumba wanazo kula . 2, unaweza kuwawekea kwenye maji ya kunya pindi wanapo toka malishoni. 3, unachanganya kwenye chupa ya maji ya kunywa kubwa kwa kijiko 2 kikubwa basi unawanywesha kipimo cha glasi 1 kila mbuzi mkubwa hii hasa ukiona kama kavimbiwa kajaa gas au anaharisha ina saidia sana.
 
Back
Top Bottom