nundaz
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 273
- 191
wakuu nawasaLimu wote. Back to topic. Nimejaribu kucheki online haya magari aina ya toyota ist yenye cc 1300 gharama yake ya huko japani ni dollar 1280. Naomba wataalamu mnisaidie gharama Zake halisi mpaka kulitoa bandarini yaani mpaka liingie barabarani. Je wenye ufahamu unywaji wa mafuta upo vipi wa hizi gari? Tafadhari msaada na ushauri wote ntaupoke na kuufanyia kazi. Nawasilisha.