Msaada kuhusu M-PESA kubadilisha float

jobatic

Member
Jun 11, 2016
33
2
Mimi ni wakala mgeni
Kwahyo sijawahi kubadili float
Kwa line 2


Tatizo langu
Kuhusu kwenda bank kubadili float ili kupata cash


Nliende crdb nikaone usitoe pesa km hauna kitambulisho


Wakat jina la wakala na lingne
Na jina langu la kitambulisho line

Kwahyo naomba msaada kufahamu
Km ntakubaliwa kufanya huduma hyo?
 
Hiyo siyo kweli mkuu.
Hata ukiwa hauna kitambulisho,ukiwa na password ya kuweza kutuma float kwenda kwenye till ya Branch husika ili upewe cash utalipwa tu bila wasi wasi.
 
Hiyo siyo kweli mkuu.
Hata ukiwa hauna kitambulisho,ukiwa na password ya kuweza kutuma float kwenda kwenye till ya Branch husika ili upewe cash utalipwa tu bila wasi wasi.
Kikubwa nmeona tangazo ndugu wakala usitoe pesa bila kitambulisho kwahyo
 
Ni kweli kwa bank wanasumbua sana kama jina la till na la kwenye kitambulisho ni tofauti,cha msingi mtafute wakala mkuu(super dealer) hapo utaweza kutoa bila shida maana wao wanajua kuna watu wanatumua line sio zao.
 
Back
Top Bottom