Also me
Member
- Aug 17, 2011
- 67
- 10
wanajavn habari za axubuhi, nilikuwa nnaomba msaada kwa m2 mwenye info. kuhusu loan allocatn kwa hawa vijana waliochaguliwa kwenye hyo 2nd round kama utakuwepo au la, na kama ni kwa watoto wa wakulima walio2piwa kwa 2ndround na hawana loan wala uwezo wa kujipigisha kitabu wafanyeje?!..., jibu lake ni muhimu xaana kwa umma wa kitz!....