msaada kuhusu Loan kwa selected aplicants frm the 2ndround na TCU:

Also me

Member
Aug 17, 2011
67
10
wanajavn habari za axubuhi, nilikuwa nnaomba msaada kwa m2 mwenye info. kuhusu loan allocatn kwa hawa vijana waliochaguliwa kwenye hyo 2nd round kama utakuwepo au la, na kama ni kwa watoto wa wakulima walio2piwa kwa 2ndround na hawana loan wala uwezo wa kujipigisha kitabu wafanyeje?!..., jibu lake ni muhimu xaana kwa umma wa kitz!....
 

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,986
1,919
sasa kama wamekosa 1 round hawa wa 2nd round watapata?ila kuwa na subira kidogo watatoa new loan allocation,usiwe na shaka mkuu
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom