Msaada kuhusu kusoma course ya pharmaceutical science

Sep 28, 2016
8
0
Habari zenu ndugu,

Naombeni ushauri kuhusu course ya pharmaceutical science maana kuna watu wengi baadhi wanasema ni course ambayo hainaga dili kabisa wanadai bora kusomea ualimu tu na sio hii course.

Kwa wenye uelewa na naombeni ushauri.. Natanguliza shukrani kwenu.
 
Wanakupotosha kama unaimudu na ipo kichwani mwako kaipige mnona iko poa tu hata sokoni siyo haba
 
Hainaga dili kwa maana ipi?
Haina ajira?
Haina marupurupu?
10% za kujiongeza hakuna?
Dadavua kidogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom