Habari zenu wakuu.
Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo ninayosoma Hadi Sasa.
Nataka ku risiti nirudie SoMo moja la mathematics ambalo nilipata "F" form four. Nahitaji kujua Kama inawezekana, na je process zake zikoje?? Marks huwa zinakua sawa Kama za wanafunzi wa kawaida ?? na vipi kuhusu gharama zake?
Nimeuliza humu sababu najua JF wapo watu tofauti tofauti Kuna wengine wlimu, wengine viongozi, wengine walishawahi fanya hiyo mitihani na wengine wanatarajia pia kufanya nk, nakaribisha mawazo yenu, ushauri na hata kunikisoa pia Ahsanteni.