Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

super mimi

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
223
171
Heri ya mwaka mpya wanajamvi. Natumai mapambano yanaendelea kama kawaida.

Nina ndugu yangu alimaliza kidato cha nne mwaka 2010 ila kwa bahati mbaya mambo yalienda kombo, alipata Div IV ya 29. Mwaka mmoja baadae alirudia mtihani ila tena mambo yakaenda vibaya alipata Div IV ya 28 .

Baada ya michakato ya maisha bado akajikuta hajatimiza adhma yake kimasomo. Maana malengo yake ni kusomea nursing

Mwaka huu ameamua kufa na kupona anataka arudie mtihani kwa mara nyingine. Sasa ombi langu kwenu wanajamvi naomba nijuzwe mambo yafuatayo:

1. Huyu ndugu yangu yangu hakufanyia mitihani yote iliyopita hakufanya chemia na physics. Je, kwa mwaka huu anaweza akajisajili akayafanyia mtihani!?

2. Anataka arudie mtihani katika masomo mawili tu ambayo ni Chemistry na Physics. Je hii inakubalika au ni lazima arudie yote?

NB: Ikumbukwe Physics na Chemistry hakuyafanyia mtihani wa kidato cha nne.

Nawasilisha ninajua humu kuna wajuvi mbalimbali watanisaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi afanye QT kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom