Msaada kuhusu kupoteza hamu ya tendo la ndoa wakati wa ujauzito

me and I

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
1,540
1,355
Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni mjamzito wa wiki 24 nimekuja kwenu ili niweze kupata majibu ya maswali yangu.

Tatizo langu ni kwamba nimepoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa mwanzoni nilikuwa najiforce ili nimpe haki mume wangu lakini baadae nikashindwa nikawa naumia nikaamua kumwambia mwenzangu akaelewa Ila cha kushangaza imekuwa Kama kawaida yaani hata mwenzangu anaonekana amezoea yaani tunalala tunaamka mpaka najiuliza ujauzito unaweza ukawa ndio sababu ya sote kukosa hamu ya tendo?

Au hii imekaaje wakuu.. naombeni kujua hili tatizo linasababishwa na nini na kama na je suluhisho lake ni lipi maana ndoa yetu ni changa na hii mimba ndo mtoto wetu wa kwanza..

Nitashukuru Mungu awabariki
 
Msikilize mmeo, akitaka mpe asije akaonekana Hana hamu, kumbe kajiongeza huko, Na ulivyomwambia unaumia, utakua umempa wazo, la kutafuta mbadala, ko jiandae MIMBA ikikua zaidi, asije kuletea ka bi mdogo,

Ushauri wangu jikaze tu jilazimishe, umshawishi awe anakula tunda hata kwa wiki Mara 2, siyo mbaya
 
Msikilize mmeo, akitaka mpe asije akaonekana Hana hamu, kumbe kajiongeza huko, Na ulivo mwambia unaumia, utakua umempa wazo, la kutafuta mbadala, ko jiandae MIMBA ikikua zaidi, asije kuletea ka bi mdogo,

Ushauri wangu jikaze tu jilazimishe, umshawishi awe anakula tunda hata kwa wiki Mara 2, siyo mbaya
Uzi ufungwe kabisa kwa hii comment, jamaa kamaliza kila kitu.

Addition.
Usiridhike na hali ya mmeo kukaa kimya ukahisi na yeye anakosa hamu kama wewe, ulisikia wapi muheshimiwa? Mwanaume kamamili yuko on siku 365 na robo za mwaka.

Chakufanya.
Kwasababu kwako kuna mabadiriko ya hormone kutokana na ujauzito ndio maana una kosa hamu, jaribu kuwaona wataalam wakushauri kama kuna vyakula vinaweza kubalance hiyo hali ili urudi kwenye hali ya kawaida kidogo. Au unaweza kuwasiliana na Bwana google, naamini hakosi majibu kwa tatizo lako.

Hatari:
Mumeo anaweza akawa anakuhurumia tu na ikapitiliza mwisho wa siku akawa anakuona kama mume mwenzie na mayokeo yake akatafta anayeweza kureplace nafasi yako.
 
Msikilize mmeo, akitaka mpe asije akaonekana Hana hamu, kumbe kajiongeza huko, Na ulivo mwambia unaumia, utakua umempa wazo, la kutafuta mbadala, ko jiandae MIMBA ikikua zaidi, asije kuletea ka bi mdogo,

Ushauri wangu jikaze tu jilazimishe, umshawishi awe anakula tunda hata kwa wiki Mara 2, siyo mbaya
Asante kwa ushauri tho Kama umesoma vizuri maelezo yangu nilitaka kujua tatizo hili linasababishwa na nini na nifanye nini ili nirudi kuwa normal maana kuhusu mume Hana shida na anaelewa situation nzima na kizuri zaidi huwa sio mtu wa kunyamaza kwa kitu ambacho anaona hakipo sawa..

Nb: Kuhusu nyumba ndogo hiyo ni hulka ya mtu mwenyewe Wala haihusiani na hii situation kwasababu wapo watu wanafanya kila kitu kwa waume zao and still side chick zinakuwepo
 
Hii ndo comment ambayo inaendana na Uzi , thanks mkuu.. so hakuna solution au huwa tu inaisha yenyewe.. na kuhusu mwenzangu anaelewa situation nzima and we are okay.
Hamna solution mkuu... Inaweza kuisha miezi miwili kabla ya kujifungua au isiishe.

Ikitokea imeisha, Mpe jamaa aipigeeee sana tuu.
 
Nb: kuhusu nyumba ndogo hiyo ni hulka ya mtu mwenyewe Wala haihusiani na hii situation kwasababu wapo watu wanafanya kila kitu kwa waume zao and still side chick zinakuepo

Dada endelea kujidanganya juu ya hilo. Hakuna aliezaliwa na hio hulka, lazima huwa na sababu ya kumfanya mtu aianze.

Mwanamme anaeshiba vizuri anapokosa tunda kitaratibu lazima hali ya hewa itavurugika tu.
 
Hali hiyo ipo kwa wajawazito wengi, ni mabadiliko ya homenes.
Ni tendo lisilo la hiari
Mimi
Nimenusurika kuwa na mchepuko kwa sababu ya hofu ya Mungu tu, nilitongozwa nikanasa na vile wangu ni mjamzito na ananinyima,nikasema hapahapa ndo ntaponea,nashukuru Mungu kabla hatujaanza procces ya kukulana mahusiano yakafa nami nikamshukuru Mungu maana nilianza kupata hatia kabla ya kuanza kutafuna.
Nadhani maombi yake maana mlokole yule ana bidii sana.
Nanyimwa naka ziwa kwelikweli...
 
Eehh mkuuu siunajua unakua unakaribia kupitisha

Sasa akiwa anaichapa anaichapaaaa inasaidia pia njia.

Usije ishia kutumbua macho Kama mjusi tu dogo kagoma kapita, mwisho wasiku ukachanika.
Hahaa sawa nimekuelewa nitajitahid maana ndo nipo miezi 3 ya mwisho
 
Hali hiyo ipo kwa wajawazito wengi,ni mabadiliko ya homenes.
Ni tendo lisilo la hiari
Mimi
Nimenusurika kuwa na mchepuko kwa sababu ya hofu ya Mungu tu,nilitongozwa nikanasa na vile wangu ni mjamzito na ananinyima,nikasema hapahapa ndo ntaponea,nashukuru Mungu kabla hatujaanza procces ya kukulana mahusiano yakafa nami nikamshukuru Mungu maana nilianza kupata hatia kabla ya kuanza kutafuna.
Nadhani maombi yake maana mlokole yule ana bidii sana.
Nanyimwa naka ziwa kwelikweli...
Hahaaa huyo Mimi kabisa sema si baadae alikaa sawa au ndo mpaka mwisho, nami namuombea wa kwangu hofu ya Mungu itawale pia ndani yake
 
Hahaaa huyo Mimi kabisa sema si baadae alikaa sawa au ndo mpaka mwisho, nami namuombea wa kwangu hofu ya Mungu itawale pia ndani yake
Hahahaaaa acha tu,hakukaa sawa yupo wiki la 32 anaenda 33,
Sasa kipindi ambacho tulipalangana na yule mchepuko nikaamua sasa kutoa password simu ikawa free,
Akawa anaitumia,siku moja tukiwa kitandani tunapiga story mbili 3 ki roho safi,sijui aliuliza kitu gani nikasema nimwambie mambo ya kunyimana yalivyo niathiri kidgo nikamatike nione ata react vipi...
Nikamwambia unakumbuka kipindi kile simu ikiwa n a password...akasema ndio
Nikamwambia kipindi hicho nilikuwaa na mchepyko na sasa mchpko una mimba ndo maana nimetoa password, maana na yy hataki kunipa huo mdude,
Cha kushangaza akacheka kicheko cha kuchoooka
Nikamwambia ndo hivyo...
Wewe ukishazaa baadae ntakuletea kid mwingine hawatofautiani sana umri na huyu wetu...
Akaishiwa pozi...
Kesho asubhi akanipa mdude😃😃nikatafuna..
Afu akaniuliza ivi ulivyonambia jana yalikuwa ni kweli...hahahaaaaa ungekuwa ww ungejibu nini...???
Nikamwambia nilikuwa nakutania...
Basi ndo nikawa napewa mara moja moja saaana tofauti na mwanzo..nikajua nisha win.
Tulienda ivyo baadae likazuka la kuzuka..
Nikapewa kirago changu (godoro)maana eti simshushii nert simjali.....ndo maana kaumwa maralia....hahaha wajawazito nyinyi Mungu anawaona.
Nikaw nalala chini yy juu anajishushia nert...na mm nikasema ahsante maana ananichoshaga usiku wa manane kumpepea na kifuniko kwakua sasa ni joto...
Basi ndo hivyo nasubiri kudra za MUNGU ila niko poa kabisa simuwazi vibaya wala kumchepukia..aaaha acha azae tu kipindi hiki nakichukia kweli....
 
Tatizo hauna ufundi ,maudambwi dambwi,chachandu fulani hivi amazing kabla ya kuanza na katikati ya tendo sasa unafikiri mtafurahia wapi

Na hapo bado hamjaanza visirani vyenu wanawake ndo maana tunaponea kwa nyumba ndogo
comment kutoka Kwa Kula kulala!
 
Back
Top Bottom