Msaada kuhusu kupata taarifa ya email kwenye simu

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Nataka email zangu zikiingia kwenye yahoo simu yangu ya mkononi inipe taarifa kwamba kuna email mpya. E mail yangu ni yahoo na natumia Nokia E61i. Nisaidieni jamani jinsi ya kuset.
 
Back
Top Bottom