Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,492
- 2,357
Za wakati huu members wote,
Kwa mujibu wa TCU Guide book 2019/20
*5th November to 15th November :Transfer window for first year
*16th November to 30th November : Submission of transfers to TCU
*7th December : Feedback for approved transfers.
NB: Registration ya vyuo vingi inafungwa 2 weeks after the opening date of registration.
Sasa maswali yangu ni kama ifuatavyo.
*hii transfer inafanyika baada ya registration au kabla? Au hutakiwi kufanya registration kwenye chuo unachotaka kuhama.
Unatakiwa kureport chuo gani? Yaani unachotaka kuhama au unachotaka kuhamia?
Je uhamisho unaweza kuathiri mkopo?