omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
oi kuna game flan la pes lenye mb 750 nilikua nacheza kwa kutumia ppsspp lakin kila ikifika second half linakata kwa ambaye kashawahi kulicheza naomba anielekeze nifanyaje ili lisikate kate?
Unachezaga online??msaada wa kuhack dream league soccer 2019 pleaseee
Tafuta jingine Mkuu.... Mm nilitafuta lingineoi kuna game flan la pes lenye mb 750 nilikua nacheza kwa kutumia ppsspp lakin kila ikifika second half linakata kwa ambaye kashawahi kulicheza naomba anielekeze nifanyaje ili lisikate kate?
Unachezaga online??
Unachezaga online??
Hapana mkuu.Unachezaga online??
Vp nikikupa lililohakiwa moja kwa mojaHapana mkuu.
nacheza offline
ni sawa pia ntashukury sanaVp nikikupa lililohakiwa moja kwa moja
Ukipewa mkuu unipe na mimi nitashukuru sana.ni sawa pia ntashukury sana
Ila unajua ku-extract mafailini sawa pia ntashukury sana
Ni pm namba yako ya WhatsApp nikupe file na instructions coz ku upload hapa haiwezekani...msaada wa kuhack dream league soccer 2019 pleaseee
0769341304.Ni pm namba yako ya WhatsApp nikupe file na instructions coz ku upload hapa haiwezekani...
Nimekupa instructions mkuu...0769341304.
hii hapaa
Lucky Panture ndio auluhisho lako ..maelezo yake ni marefu mno ... jaribu kuingia youtube utapata ufafanuzi kwa njia ya video.msaada wa kuhack dream league soccer 2019 pleaseee
Ipo njia fupi sana,Lucky Panture ndio auluhisho lako ..maelezo yake ni marefu mno ... jaribu kuingia youtube utapata ufafanuzi kwa njia ya video.