Naomba mod version ya Game la Gunship battle.Chukua link hii HACK DREAM LEAGUE SOCCER 2018 ~ SmatSkillsukishindwa njoo hapa
Lile gumu balaa, mbaya zaid ukiweka luck patcher halichez mpaka utoeNaomba mod version ya Game la Gunship battle.
Au jinsi ya kuhack bila kuroot simu.Ila ungenipa hacked version ingekua vizuri zaidi
Me najua kulihack Ila linahitaji mpaka uRoot simu sasa nina simu mpya ambayo sitaki kuifanyia root.Ila kuhack sio gumu kama umeroot.Lile gumu balaa, mbaya zaid ukiweka luck patcher halichez mpaka utoe
Nipe trick mkuuMe najua kulihack Ila linahitaji mpaka uRoot simu sasa nina simu mpya ambayo sitaki kuifanyia root.Ila kuhack sio gumu kama umeroot.
Ndo maana natafuta ambalo lipo hacked tayari.
Mkuu nenda lilipo hilo file la data ulilopakua na game, hamisha hilo file la data kwenda kwenye folder la android then liweke ndani ya folder la obb.Mkuu hebu nisaidie
Nimetumia acmarket kudownload DLS 2018
Kwenye kudownload yamekuja mafaili mawili,moja la gemu halafu lingine limeandikwa data,nikadownload yote mawili
Sasa limeanza kukaa lile la gemu nikainstall wakanambia nidownload additional files from play store nikasita nikakumbuka kuna file la data halijajaa bado,nikalingoja hadi likajaa kisha nikafungua ile app ya gemu,chakushangaza bado wananambia nidownload additional contents from play store wakati lile file la data lenye ukubwa karibia mb 285 ka sikosei nilishalidownload nisaidie Tafadhali nifanye nn
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kama umeroot simu yako download lucky patcher.Nipe trick mkuu
Tengeneza obb kama hiviMkuu hebu nisaidie
Nimetumia acmarket kudownload DLS 2018
Kwenye kudownload yamekuja mafaili mawili,moja la gemu halafu lingine limeandikwa data,nikadownload yote mawili
Sasa limeanza kukaa lile la gemu nikainstall wakanambia nidownload additional files from play store nikasita nikakumbuka kuna file la data halijajaa bado,nikalingoja hadi likajaa kisha nikafungua ile app ya gemu,chakushangaza bado wananambia nidownload additional contents from play store wakati lile file la data lenye ukubwa karibia mb 285 ka sikosei nilishalidownload nisaidie Tafadhali nifanye nn
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu ngoja niliibukieTengeneza obb kama hivi
Kisha weka hivi kwenye obbkisha hivimambo kwisha
mkuu kuna steps zilinichanganya.....nimeweka ile app ya ppsspp ndo nacheza magemu ya PSP sasaUmefanikiwa au bado
Umefanikiwa au bado
Shukrani mkuu ubarikiweChukua link hii HACK DREAM LEAGUE SOCCER 2018 ~ SmatSkillsukishindwa njoo hapa
Ukifanya iyo process fanya km ku restart simuNimepitia lakini wapi
Mbna mi nme shindwa mkuuChukua link hii HACK DREAM LEAGUE SOCCER 2018 ~ SmatSkillsukishindwa njoo hapa
Linaandika hivyo kwa kuwa size ni kubwa about 300 MBs we ondoa hiyo tick iliyo kwwnye proceed using wifi halafu endeleaOya mbona hilo game nikidownload linakataa kwny smart yng Vodafone 200 linaniambia niwashe WiFi ..msaada plz