Msaada kuhusu kuhack dream league soccer 18

Lile gumu balaa, mbaya zaid ukiweka luck patcher halichez mpaka utoe
Me najua kulihack Ila linahitaji mpaka uRoot simu sasa nina simu mpya ambayo sitaki kuifanyia root.Ila kuhack sio gumu kama umeroot.
Ndo maana natafuta ambalo lipo hacked tayari.
 
Mkuu hebu nisaidie
Nimetumia acmarket kudownload DLS 2018
Kwenye kudownload yamekuja mafaili mawili,moja la gemu halafu lingine limeandikwa data,nikadownload yote mawili
Sasa limeanza kukaa lile la gemu nikainstall wakanambia nidownload additional files from play store nikasita nikakumbuka kuna file la data halijajaa bado,nikalingoja hadi likajaa kisha nikafungua ile app ya gemu,chakushangaza bado wananambia nidownload additional contents from play store wakati lile file la data lenye ukubwa karibia mb 285 ka sikosei nilishalidownload nisaidie Tafadhali nifanye nn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Mkuu nenda lilipo hilo file la data ulilopakua na game, hamisha hilo file la data kwenda kwenye folder la android then liweke ndani ya folder la obb.
Ndio ufungue hiyo game yako.
 
Nipe trick mkuu
Kama umeroot simu yako download lucky patcher.
Kisha nenda Google andika Gunship battle all versions.... download version 3.5 au 4.0 (kama sikosei,ila isizidi version 4 na isipungue version 3.5).
Rudi kwenye lucky patcher,hack game lako kama kawaida.... collect coins zako za kutosha nakushauri zisifike 900k maana siku wanablock account zenye coins nyingi.
Ukishakusanya hizo coins ingia play store utaona umeambiwa uUpdate game lako,ukishaupdate coins zako zote utazikuta kwenye latest version.
NB: Hakikisha unacheza na kumaliza angalau Episode 2-3 kabla ya kuUpdate.Hivyo tu.
 
Mkuu hebu nisaidie
Nimetumia acmarket kudownload DLS 2018
Kwenye kudownload yamekuja mafaili mawili,moja la gemu halafu lingine limeandikwa data,nikadownload yote mawili
Sasa limeanza kukaa lile la gemu nikainstall wakanambia nidownload additional files from play store nikasita nikakumbuka kuna file la data halijajaa bado,nikalingoja hadi likajaa kisha nikafungua ile app ya gemu,chakushangaza bado wananambia nidownload additional contents from play store wakati lile file la data lenye ukubwa karibia mb 285 ka sikosei nilishalidownload nisaidie Tafadhali nifanye nn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Tengeneza obb kama hivi
6fe230de10516da5f94b8c807a60d61f.jpg

Kisha weka hivi kwenye obb
48b576d53360493172d0017160dfb53f.jpg
kisha hivi
0a7f23dd2f37be6d3c234fabb2690bc8.jpg
mambo kwisha
 
Hack ukifika kwa Elite division
Ila mi naona ni vizuri ukiact kama kocha yaani soma takwimu za mechi zako pangilia formation halafu chea kwa kurelax mi sikuhack ila nimefika kule juu nimefumuliwa na timu moja tu ya dream team wakati huo timu yangu haina star zaidi ya sissoko
 
Oya mbona hilo game nikidownload linakataa kwny smart yng Vodafone 200 linaniambia niwashe WiFi ..msaada plz
Linaandika hivyo kwa kuwa size ni kubwa about 300 MBs we ondoa hiyo tick iliyo kwwnye proceed using wifi halafu endelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom