Msaada kuhusu kuhack dream league soccer 18

Nielekeze mkuu coz napata shida sana kupata coin
Nenda ACMARKET search game husika download lililo andikwa mod money mfano
605b78a3e771d09bab5c2bcc2880afbb.jpg
 
Nenda ACMARKET search game husika download lililo andikwa mod money mfano
605b78a3e771d09bab5c2bcc2880afbb.jpg
Mkuu hebu nisaidie
Nimetumia acmarket kudownload DLS 2018
Kwenye kudownload yamekuja mafaili mawili,moja la gemu halafu lingine limeandikwa data,nikadownload yote mawili
Sasa limeanza kukaa lile la gemu nikainstall wakanambia nidownload additional files from play store nikasita nikakumbuka kuna file la data halijajaa bado,nikalingoja hadi likajaa kisha nikafungua ile app ya gemu,chakushangaza bado wananambia nidownload additional contents from play store wakati lile file la data lenye ukubwa karibia mb 285 ka sikosei nilishalidownload nisaidie Tafadhali nifanye nn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Jamani samahanini wataalam Wa kuhack, mimi natatizo flani kama mtu akiweza kunisaidia nitafurahi na kumpatia zawadi, msiniogope maana wengi wameogopa kazi yangu eti ni usalama
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom