Msaada kuhusu kufanya TV show

jojolito

Member
Jun 22, 2016
11
4
Habari zenu, naomba msaada kwa anayejua mtu ukitaka kuwa na TV show yako mfano wanawake live, mkasi na kama kilivyokuwa cha Wema Sepetu, anatakiwa afate utaratibu gani na inaweza cost sh ngapi kwa kuanza?
 
Kazi yako tu, kama imetulia ni dakika chache tu, but usipeleke kwa wenye TV wana Tabia za kuiba Mawazo ya watu.
Ishu iko hivi, unaonesha plan yako na demo, then unatafuta wadhamini, halafu inakuwa poa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom