Msaada kuhusu kuchagua chuo/kozi

Apr 15, 2021
82
123
Salamu kwenu wakuu,

Kuna kijana amepata D ya physics, C ya biology na Chemistry na math kapata F, jumla ana Division 2. Je, huyu course za Afya vyuo vya serikali au binafsi anaweza kukubaliwa?

Asanteni
 
Back
Top Bottom