Msaada kuhusu kuaply awamu ya pili NACTE

miss naire

JF-Expert Member
Oct 31, 2016
237
228
Habari za muda huu wadau, hiv majuzi niliuliza kuhusu wanafunzi majina yao yalitoka kuwa watapangwa second selection advance lakin hawakupangwa, sasa naomba msaada hapa, naona NACTE wamesha fungua system ya udahili kwa walio chelewa, nahitaji kumuombea ndg yangu kwa sasa, naona matokeo yake physics na maths inamuangusha kwa upande wa afya, mahali anapoweza kusoma ni COMMUNITY HEALTH DEVELOPMENT, naangalia guide book ya NACTE, naona vyuo vyote wanatoa BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE, sasa nauliza vip kuhusu mtu kuja kuendelea na diploma haito wezekana, au hakuna chuo kinacho toa diploma ya COMMUNITY HEALTH????
 
kwasasa hakuna level ya diploma wala degree mwisho certificate
 
asante ndugu, na akimaliza hiyo certificate anaruhusiwa kuunga diploma course nyingine ya afya au ajira huwa wana ajiriwa na hizo certificate tu
 
Habari za muda huu wadau, hiv majuzi niliuliza kuhusu wanafunzi majina yao yalitoka kuwa watapangwa second selection advance lakin hawakupangwa, sasa naomba msaada hapa, naona NACTE wamesha fungua system ya udahili kwa walio chelewa, nahitaji kumuombea ndg yangu kwa sasa, naona matokeo yake physics na maths inamuangusha kwa upande wa afya, mahali anapoweza kusoma ni COMMUNITY HEALTH DEVELOPMENT, naangalia guide book ya NACTE, naona vyuo vyote wanatoa BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE, sasa nauliza vip kuhusu mtu kuja kuendelea na diploma haito wezekana, au hakuna chuo kinacho toa diploma ya COMMUNITY HEALTH????
Naomba msaada nimepata division 2 nimepangia ualimu wa awali bundaa
 
Back
Top Bottom