Msaada kuhusu kuambatanisha cheti cha kifo cha mzazi kwenye application HESLB

Isaack Newton

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
535
224
Habari wakuu
Nimefuatilia cheti cha kifo cha mzazi ili nikiambatanishe na fomu sasa sijakipata maana kila nikijaza kwamba mzazi alifariki namba ya cheti lazma iwepo.

Nimeamua kujaza mzazi yupo maana muda unaisha na kesho natakiwa mgambo JKT. Sasa tatizo linakuja kwamba cheti cha kuzaliwa kinaonesha kuwa mzazi amefariki na fomu ioneshe mzazi yupo. Je haitasumbua?
 
N/A means Not Applicable. Tafsiri yake ni kuwa haipo.
Sawa unasema itasumbua, lakini wewe cheti hicho hauna, na mchakato wake sio wa siku moja, deadline inasogea.
Sasa chagua ipi bora.
 
Skia broo nenda JKT then ukirud jeshi kabla ya kwenda chuo jitaid kufatilia iko cheti cha kifo na kama ikitokea umekosa mkopo utarudia kuomba na utaambatanisha na iko cheti sawa ivo ni rahisi zaid usiwaze
 
Mkuu,hao bodi ya mikopo ukifanya kosa moja tu , mkopo hupati so cha kufanya angaikia hicho Cheri
 
Km una mwenyeji fatilia cku moja tu unakipata me nimekipata cku moja tu ila bila mweji utachelewa kupost km ukikosa ambatanisha icho cha kuzaliwa ckinaonesha mzazi amekufa hapo penye namba ndo mtihan
 
Huo mtihani ila kama ushamaliza process zingine unaweza kumuachia mtu unayemuamini andelee kufuatilia kabla deadline haijafika
 
Back
Top Bottom