Msaada kuhusu ku-update android version

philemon musa

Member
Oct 31, 2017
11
1
Simu yangu ni Samsung galaxy s 5 niliiflash mara ya kwanza haikuwa na android ya lollipop asa nataka kui update iwe na android ya mwanzo nifanyeje?@chiefmkwawa
 
By default galaxy s5 inakua na android version 4.4.2 (kitkat) ambayo unaweza kuiupdate mpaka version ya 6.0 (marshmallow), nisichoelewa ni Lollipop umeipata wapi?

Pia kurudisha device kwenye operating system ya mwanzo kunaitwa kudown date, na huweza kufanyika kwa kurestore simu au hard reset.

Umeiflash umeweka android version gani?
 
Back
Top Bottom