Msaada: Kuhusu kozi ya Forest Industries Technology

Tonny Side

Member
Jul 1, 2018
12
5
Hello hanari ya muda huu wadau?

Naomba Kama kuuliza kama Kuna mtu ashawahi kusoma au ana uelewa wa hii course Forest Industries Technology, Je inahusiana na nini na baada ya mhitimu kumaliza kozi hii anafanya shughuli zipi?
 
Ukimaliza usipopata ubwana misitu nunua chasel , Anza kuchana mbao
 
Back
Top Bottom