Msaada kuhusu Kitunguu saumu

abaa4all

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
313
290
Habar wakulima
Naomba aliewah kulima kitunguu saumu aniambie kinakaa muda gani shamba na kipind gan huwa ni mwisho wa kumwagia maji.
Ntashukuru
 
Habar wakulima
Naomba aliewah kulima kitunguu saumu aniambie kinakaa muda gani shamba na kipind gan huwa ni mwisho wa kumwagia maji.
Ntashukuru
Sorry nilikuja kasi nikidhani ni kuhusu matumizi yake hasa kiroho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom