Msaada kuhusu kipimo hiki

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,314
Habari wana jukwaa hili, ni jambo la heri kuona watu wanasaidiana kupeana mawazo ya kitabibu ili walio na matatizo kiafya wapate kupona ama kuchukua hatua madhubuti ili wawe na afya njema.

Najua kuna madokta humu na watu wa afya mbalimbali na wenye uelewa kuhusu mambo ya afya.

Napenda kujua kipimo cha full blood picture je unaweza kuona malaria ndani? Na nini hasa maana ya kipimo cha full blood picture na inatumika kupima haswa nini.

Asante.

Full-blood-profile.png
 
Na mimi nasubiri niweze kujua maana kuna siku daktari alishauri nipime hicho kipimo nikamwambia nitakuja kesho maana niliogopa wasije wakanipima na ngoma bure maana kipindi hiko nilikuwa muhuni muhuni so nilikuwa sijiamini.
 
Na mimi nasubiri niweze kujua maana kuna siku daktari alishauri nipime hicho kipimo nikamwambia nitakuja kesho maana niliogopa wasije wakanipima na ngoma bure maana kipindi hiko nilikuwa muhuni muhuni so nilikuwa sijiamini.
Hah ok mkuu ngoja wataalam wa afya na madokta waje.
 
Mi nilipimwa hicho kipimo huwa wanaangalia content ya damu nadhani sidhani kama wanaweza kugundua malaria.
Huwa watakwambia kiasi cha Fat, Protin na sukari katika damu nadhani.
 
FBP-MCV, MCH, Hb, MCHC, hct, pCT COUNT,NEUTROPHILS(MXD and SD) COUNT ,LEUCOCYTES COUNTS.
Kujua virefu vya ivo vifupisho gugo mkuu.

Ispokua cha kukusaidia apo kila kimoja kina normal range yake.iyo normal range. Ikizidi au kupungua means ni indicator ya tatizo flani au ugonjwa flan ndan ya mwili.madaktari wanakua na iyo chart ya ivyo vitu...inasaidia kuraisisha kujua mtu apwimwe nini kukonfirm.

Nawasilisha.
 
Basi nitakua sina ngoma maana dokta kasema majibu ya FBP yako sawa.
FBP haipimi ngoma, FBP inapima seli za damu kuna seli yeupe (white blood cells) kuna seli nyekundu na kuna chembe sahani
Upimaji wa vitu hivyo hutoa husaidia ku-pre-diagnose tatizo kupanda au kushuka kwake.

Lakini sio confirmatory test
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom