Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,278
Kwa anejua msaada tafadhali, je kile kifaa wanachotumia kupima mwendo wa gari je kina uwezo wa kupima mwendo wa gar kwa nyuma nimekutana na hiyo case traffic wamepiga picha gari kwa nyuma then wakarushiana kwenye sim zao wanamwambia kwamba kuna sehemu alizidisha speed. Kwa uelewa wangu wa physics speed ni sawasawa na umbali ugawanye na time uliotumia kufika destination point