Liobite
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 125
- 35
Habari wana-JF,
Mimi nilijiandikisha kwa mara ya kwanza kwenye daftari la kudumu la wapiga kura nikiwa Dodoma.Na sasa nipo mkoani lindi hivyo basi baada ya NEC kutoa taarifa kuwa wote waliojiandikisha ktk maeneo ambayo hawatakuwepo siku ya uchaguzi waende wakabadili taarifa zao kwenye maeneo na vituo ambavyo watakuwepo siku ya uchaguzi,na nimebadili taarifa zangu.
Sasa cha ajabu nimeingia kwenye website ya NEC==>#www.nec.go.tz kwenye sehemu ya taarifa za mpiga kura nimeingiza namba za KICHINJIO changu ili nihakiki naambiwa #SAMAHANI_HAUJAJIANDIKISHA_KWENYE_DAFTARI_LA_KUDUMU_
Sasa tatizo ni nini,au nimekatwa?
Naombeni msaada wenu wakuu nifanyaje ili niweze kupiga kura?