Msaada kuhusu kazi, internship na kujitolea

fyegu

Member
Oct 17, 2017
50
51
Habari wana jf, naomba kurudia Uzi huu kwa watu ambao wanaweza kunisaidia.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu mwaka 2020, Nina ujuzi Mkubwa wa kutumia computer katika program za word, excel, PowerPoint.

Lakini pia nina ujuzi katika strategic management, public policy analysis, customer care, performance Management, human resources management, pia Niko vizuri katika research asa katika data collection, data analysis kutumia excel, presentation, Leadership, Report writing Na nina uwezo mzuri wa kutumia lugha ya kiingereza.

Natafuta kazi either ya kujitolea au temporary kwenye taasisi yoyote hata kwenye business sector naweza kufanya Kama customer care, HR, Administrator, etc.

Nahitaji msaada wenu ndugu zangu Kwa yeyote mwenye kazi au connection yoyote itakayo niwezesha kufikia lengo langu nitashukuru sana.

Ndugu zangu naomba Sana msaada wenu ili niweze kuonesha ujuzi, maharifa na uwezo nilionao ilikukuza taasisi itakayo Nipa nafasi, pia kukuza career yangu na mwisho kujisaidia na kusaidia walio nyuma yangu.

Nipo Dar es salaam lakini naweza kusafiri mahali popote nafasi itakapo patikana.

Asanteni sana na Mungu awabariki.
 
Kila la kheri ndugu

1626789510087.png
 
TANGAZO LA KAZI ZA KUJITOLEA

TAREO-Tanzania Rural Empowernment Organiztion ni assi isiyo ya kiserikali yenye mako yake makuu Moshi,Kilimanjaro.

Oja ya jukumu l asasi hii ni kuwajengea uwezo wkazi wa vijijini hususani,WATOTO,VIJANA,AKINA MAMA NA WAKAZI WA VIJIJINI:

Tunalenga kuwajengea uwezo katika Nyanja za

  • Elimu (Tuna vyuo na shule za awali)
  • Tehama(Tuna kituo cha mafunzo ya TEHAMA-digital skill centre-Himo)
  • Afya (Dispensary ya Kyomu Kahe na kituo cha afya)
  • Ujariamali (Majengo vocational Projects—www.majengo.africa)
  • Ufundi stadi na (Chuo cha ufundi KIDT VTC)
  • Miradi ya kujiingizia kipato na kuji-ajiri (Majengo,Dar na HImo)
Tunafanya kazi na vijana,wahitimu wa vyuo na wanao penda kujitolea katika fani tofauti tofauti:

Kwa yeyote anayenda kujitolea,kujijengea uwezona pia kukutana na fursa za kuji-ajiri anweza kujiunga nasi kwa kujitolea

Tunapokea vijana na mtu yeyote anyependa kutumia taaluma yake,kipawa na ujuzi wake kufanya kazi na sisi:

Karibu ujiunge nasi leo(muda wa kujitolea ni kati ya miezi 3,6 na hata mwaka mmoja)

Wasiliana nasi leo-----mkurugenzi 0717157640 /+255272750531 E-mail info@tareo-tz.org
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom