Msaada kuhusu kampuni za usafi zinavyofanya kazi

zaza1

Member
Jun 28, 2018
46
95
Habarini wana JF?

Kuna mambo machache napenda kufaamishwa kuhusu kampuni za usafi :-

Wanapataje tenda kwenye maofisi ya watu binafsi na Serikalini?

Vitu gani vya muhimu kampuni inahitajika kua navyo ili iweze kupata tenda?

Njia gani mwanzo unapoanza kufungua unatakiwa kuitumia, kuajiri kwanza watu kabla haujapata tenda au kiajiri watu baada ya kupata tenda?

Ni hayo tu wana JF nahitaji kujuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,252
2,000
Kama ni mwanamke kupata hizo tender rahisi sana,kagawe rushwa ya ngono..maelekezo mengine watakupa huko huko!
 

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
4,045
2,000
Kama ni mwanamke kupata hizo tender rahisi sana,kagawe rushwa ya ngono..maelekezo mengine watakupa huko huko!
Mzee kama ulikuwa huna unalolijua katika hili bora ungepita kimya kimya kuliko leta dhihaka kama ulivyofanya.
 

Mr increase

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
437
500
jiandae kuomba kwanza tenda ndiyo uite wafanyakazi, apparently ukiweza kuwa na kampuni iliyosajiliwa uta enjoy mwenyewe, vifaa unaweza pata kwa mkopo baada ya kumhakikishia mtu tender na usajili labda wa kampuni yako simply you need to work really hard to win the contract tender kwa kujimarket mwenyewe. let say jiite zaza one general cleaner.co.ltd
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom