MSAADA KUHUSU KAMPUNI YA EBAY

CHITAKO

Member
Jul 13, 2017
31
10
Habari za kazi wadau,naombeni kusaidiwa kwa hili.Nimenunua mzigo ebay leo asubuhi kwa kutumia paypal,lakini baada ya muda kuingia tena kwenye akaunti yangu ya ebay,nimeshindwa tena kuingia.kila nikijaribu nakutana na neno YOUR ACCOUNT HAS BEEN SUSPENDED.Hivyo naombeni msaada namna ya kurudisha akaunti yangu.Nimejaribu kutafuta email yao,kwenye website yao,lakini siioni.Hivyo naombeni msaada kwa anejua namna ya kurudisha akaunti.
 
Back
Top Bottom