Msaada kuhusu kada za Television bapa na toauti kati ya maneno yafuatayo;


Fakhi Jumaa

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
239
Likes
20
Points
35
Fakhi Jumaa

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
239 20 35
Smart TV, LED, LCD!, 3D LED TV! LED HDTV,. Je tofauti ya 3D na Blu Ray ni ipi? Pili Je kuna uwezekano wa kucheza muvi ya format ya 3D kutumia Deki inayocheza 3D lakini Diplay ikiwa nini LCD ya kawaida?, Je nawezaje 'kuburn' movi zenye format ya Blu Ray au 3D kwenye CD? Na zile 240Hz au 120 Hz zinasimama badala ya nini? Nimelazimika kuuliza kwa kuwa mwanzo nilidhani nazifahamu kidogo lakini nimejigundua kuwa sizifahamu kama nilivyodhani. Natanguliza shukraani wadau wa Jukwaa lenye madini la Gadgets. Wasalaam
 

Forum statistics

Threads 1,275,229
Members 490,947
Posts 30,536,252