Msaada kuhusu ICT, IT na CS

FezzyJoe

Senior Member
Jun 2, 2017
115
45
Kwa Matokeo haya
History E
Geography S
English D
Naweza kusoma diploma in ICT, IT au CS
 
Kwa Matokeo haya
History E
Geography S
English D
Naweza kusoma diploma in ICT, IT au CS
Kama matokeo yako ya kudato cha nne una ufaulu mzuri wa MATH na PHYSICS unaweza anza na certificate mwaka 1 ndio usome diploma. Tofauti na hapo utasoma diploma kwenye collage za uchochoroni ambapo mwisho wa siku lazima ujute
 
Mkuu ICT ndo imeunganisha hadi IT?? I mean ukisoma ICT utakua umesoma yaliyomo kwenye IT?

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Sijasoma IT wala ICT ila ukiwauliza waliosoma wanakuwa wanapingana.
 
Certificate NTA 4 MWAKA 1, DIPLOMA NTA 5&6 MIAKA MIWILI JUMLA MIAKA 3, KWA MUST, ATC, NA DIT. HUYU ATASOMA BACHEROR MIAKA 3 BADALA YA 4. TOFAUTI NA HAPO PROSPECTUS watakuwa wanatoa za uongo.
Kwa vigezo ulivyotaja means anajiunga diploma moja kwa moja na si certificate ya (veta) na vigezo ni awe na D kwenye masomo ya science pamoja na english.
Kuhusu kusoma miaka mitatu ni sawa kwa kuwa yeye atasomea BACHELOR IN ENGINEERING(B.ENG) na si BACHELOR OF SCIENCE IN ENGINEERING(BSE)ambayo hii wanasomea waliopita direct(advance).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo unaweza soma DIPLOMA kwa hivyo vyuo vya ufundi bila kuanza na certificate?
 
Ndio! Unapokuwa na ufaulu wanaoutaka ni utajiandikisha unasoma ordinary diploma ambapo ina contain three years na ina level tatu(4,5 na 6) 4 ikichukuliwa kama basic certificate.
Ila kama hana ufaulu wanaoutaka itabidi aanzie certificate ya veta ambayo ni miaka 2 kiujumla kisha ndo aende kuanza level hizo tatu yaani diploma.

Certificate ya VETA, level 1, 2 miaka miwili kuna mtihani wa CBA II ukifaulu unaendelea na level 3, jumla inakuwa miaka mitatu. Ndio unapata VC3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio! Unapokuwa na ufaulu wanaoutaka ni utajiandikisha unasoma ordinary diploma ambapo ina contain three years na ina level tatu(4,5 na 6) 4 ikichukuliwa kama basic certificate.
Ila kama hana ufaulu wanaoutaka itabidi aanzie certificate ya veta ambayo ni miaka 2 kiujumla kisha ndo aende kuanza level hizo tatu yaani diploma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ulichokiongea ndicho ninacho kifahamu.
 
Ndio! Unapokuwa na ufaulu wanaoutaka ni utajiandikisha unasoma ordinary diploma ambapo ina contain three years na ina level tatu(4,5 na 6) 4 ikichukuliwa kama basic certificate.
Ila kama hana ufaulu wanaoutaka itabidi aanzie certificate ya veta ambayo ni miaka 2 kiujumla kisha ndo aende kuanza level hizo tatu yaani diploma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Je na utaratibu wa kusoma NVA(NATIONAL VOCATIONAL AWARDS) upoje?
 
Wanaotaka kusomea NVA kwanza wawe na sifa hizi
a). Vijana waliomaliza Kidato cha nne (Form Four) na kupata cheti cha kidato cha nne cha Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) b). Wafanyakazi viwandani wenye ari ya kujiendeleza.
Na fomu za kujiungia hutolewa hapo hapo chuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ICT ndo imeunganisha hadi IT?? I mean ukisoma ICT utakua umesoma yaliyomo kwenye IT?

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hapana mkuu, mtu aliyesoma ICT anashabihiana na mtu wa electrinics and telecomunication kwa karibu sana na ndio mana mara nyingi Chuo kinachofundisha kozo mojawapo basi hiyo nyingine inakuwa haipo, mfano pale DIT wana ele & tel, st. Joseph wana ICT pekee(hawa wanatofautiana kidogo sana)
Mtu wa IT yupo katikati ya Computer engineering na Computer science.
 
Back
Top Bottom