Msaada kuhusu hp spectre 360x laptop

SECRET AGENT

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
252
487
WanaJF nisaidieni kwa hili, nilikua natafuta hii laptop HP SPECTRE 360X yenye specifications hizi:
na nmejaribu kuangalia wauzaji nmekutana na mkanganyiko mana Bei yake inakua 1.8 M wengine 2 M .

Kuna muuzaji nmekutana nae naye anauza laptop hiyo japo specification zmetofautiana kidogo yeye ina 2GB Nvidia GeForce graphics card, Inch 15.6, Touch Screen, Core i7, Ram 8GB, SSD 250.

Yeye anauza 900,000 ni Refurb. Wauzaj wengi hazina NVIDIA GEFORCE GRAPHICS CARD na pia ni Core i5.

Naomben msaada kwa mwenye uzoefu nisije nikapigwa hapa kwanini huyu muuzaji bei yake imekua ndogo sana.

images%20(33).jpg
images%20(32).jpg
 
Matapeli hao watakupiga hela tu, angalia insta page za computer kwa k.koo, pia chech na epic wako city mall na maduka mengine ila price ni 1.3m- na kuendelea kutegemea na ram, storage itakayokuwa nayo
 
Hii series ni nzuri sana, niliichukua kama hii iliyotoka awali nafikiri miaka minne iliyopita, mpaka sasa sijaijutia.
 
Asantee Sana Mkuu, nimeshtuka Sana, nkaanza kufuatilia bei mtandaon nkaona hakuna ya namna hiyo.
 
Hii series ni nzuri sana, niliichukua kama hii iliyotoka awali nafikiri miaka minne iliyopita, mpaka sasa sijaijutia.
Kaka Kiranga kama una Laptop ya zamani ambayo huitumii kwa Sasa naomba nisaidie pls, hata kama ya zamani najua Kibongobongo itanifaa. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwako.
 
Mkuu laptop moja ina specification tofauti tofauti, hakuna laptop yenye specs moja.

Pia ni vyema ujue actual specification mtu kukwambia tu Nvidia 2gb ni kuingizana chaka, inaweza kuwa ni low end dedicated gpu inayopitwa nguvu na gpu za ndani.

Pia kama wadau huko juu walivyo Sema usinunue kitu kibongo bongo kwa kutuma pesa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom