onkoko
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 514
- 478
Naomba mnisaidie taarifa kuhusu hizi fursa zinazotangazwa na Clouds Fm. Mambo ya muhimu ni fursa zipi zinatolewa na Clouds Fm, kama kuna gharama yoyote Ile ya kuhudhuria kwenye conference hiyo na namna ya kupata maelezo kutoka kwa Clouds Fm moja kwa moja.