Msaada kuhusu hizi fursa zinazotangazwa na Clouds Fm

onkoko

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
514
478
Naomba mnisaidie taarifa kuhusu hizi fursa zinazotangazwa na Clouds Fm. Mambo ya muhimu ni fursa zipi zinatolewa na Clouds Fm, kama kuna gharama yoyote Ile ya kuhudhuria kwenye conference hiyo na namna ya kupata maelezo kutoka kwa Clouds Fm moja kwa moja.
 
Hizo ni fulusa kwao kwa kupokea viingilio na kuuza sidii na vitabu vyao pamoja na bizaa zao wakati mwingine...... Ila we kama kijana chakalikaa so lazima uende kwao elimu ni kila maali xahv
 
Ndo yale ya Mgombea urais wa chama fulani (jina kapuni) mwaka jana anawaambia vijana wakasome vipaumbele /ilani kwenye website ya chama.
 
Vijana nao bila kufikiria wanaingia mkenge. Mpoto akakupe eti alifanikiwaje? Nooo
 
Na hao majamaa hawachelewi kukuambia ety alikua na mia mbili akanunu yai akaliuza mia nne akanunua mawili cjuh nn mpk xahv anamiliki matrilioni...... Ingekua hvo mbona ingekua laisi sana kuna watu wanauza ayo mayai miaka nenda ludi hawatoki we leo hii ukaanze na yai moja utoke
 
Clouds ni matapeli hakuna jipya wee jikomalie zako hao wanakuchota nyota ukanunue vi book vyao uendelee kulialia,hao kina mpoto wana nini cha maana sana mpaka wawe darasa kwa wenzaoo
 
Mwingine alikurupuka akasema mkapande miti milioni moja muuze kila mti sh mia nne baada ya miezi sita mpate 400million. Kasahau gharama na changamoto lukuki nyuma ya mradi kama huo, Iringa napo kumepatwa...
 
Back
Top Bottom