Msaada kuhusu hii kozi

Jul 11, 2016
96
53
Shikamooni wakubwa zangu nimemaliza form six mwaka huu HGE nimepata two ya point 10 na ninataka nichukue BACHELOR OF ART IN GEOGRAPHY AND ENVIRONMENTAL STUDIES samaani nilitaka kujua kama hii course ina soko
 
Waoohhh Flavian Michael,hongera kwa kufanya vuzuri mtihani wako...pia faham kwa serikali hii ujue kwanza kituo cha kwanza ni ualim so fanya mambo,hayo mengine baadae...
 
Back
Top Bottom