Msaada kuhusu HELSB na TCU

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
844
250
Samahani wandugu kwa usunbufu
Nataka postpon chuo, then nipage kaz ka 3 yrs, then nije niombe transfer
Niko first year, hlf ni loan benefishary, nisomee huko ntakapokuwa vip itaeezekana??
Na loan yangu ikawa inanisubiri nienfeleze gurudum la usomaj
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
7,406
2,000
Mkuu nakushauri upande loanboard na TCU unaweza pata jibu la uhakika zaidi ,na wakakupa njia uanzie wapi..na upitie hatua gani
 
isl

Member
Jul 28, 2015
73
125
Unatakiwa uende HESLB na barua ya kuahirisha masomo ili usitishe mkopo, hata hivo mwaka ambao utataka kurudi masomoni ni lazima utume maombi ya mkopo tena. Ndivyo ninavyofahamu
 
seleman msumeno

JF-Expert Member
Apr 26, 2015
202
195
Unatakiwa uende HESLB na barua ya kuahirisha masomo ili usitishe mkopo, hata hivo mwaka ambao utataka kurudi masomoni ni lazima utume maombi ya mkopo tena. Ndivyo ninavyofahamu
Kwa first year haiwezekani ku postpone mpka upate matokeaa atleast ya semister moja .....ila kwa HESLB sijajuaa
Kwan huwez kupostpone bila ya kuwa na matokeo hata ya semista na je kama umekosa ada ya kufanya registration
 
Jun 4, 2015
57
125
kwa utaratibu wa sasa ukiacha na wakakata mkopo hata kama n kwa maandshi au barua sio rahsi ukirudi upate mkopo tena! hyo weka nukta! kuna kigezo cha umri mpaka urud lazma utakuwa nje ya boksi, enzi za jk ingewezekana lakn sasa hv kila mtu anaogopa
 
Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
844
250
Maana, nmeona calculum ya hiki chuo hainifai, kama si hvo nilitaka nihamie chuo kingine mapema kabla sijachelewa sasa najiuliza sijui itawezekana pia hili swala la kuhama nikahama na mkopo wangu,
Na ada ikahamishiwa kule ninako kwenda
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
7,406
2,000
Maana, nmeona calculum ya hiki chuo hainifai, kama si hvo nilitaka nihamie chuo kingine mapema kabla sijachelewa sasa najiuliza sijui itawezekana pia hili swala la kuhama nikahama na mkopo wangu,
Na ada ikahamishiwa kule ninako kwenda
Mkuu we tatizo lako ni lipi hasa kwan hata mim nimevumilia tu ....ningekuwa na uwezo nishahama chuo na koziiii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom