Msaada kuhusu game ya dream league

Kijaaa

Member
Nov 19, 2017
26
37
Simu yangu Ni Infinix smart4 Ila niki download game ya dream league ukicheza utakuta Ina stuck au game kuzima kabisa sijajua shida Ni Nini msaada jamani?
 
Infinix smart4 ina tabia iyo kwenye dream League solution ninayoijua ni Factory Reset Phone irudi kama ilivyokawa mpya bila kitu hii inamaana utaanza upya kuweka vitu vyako kwenye simu. Pole sana.
 
Ok Asante Sana mkuu kwa ushauri.
 
Hili tatizo linatokea punde tu unapodownload ama unacheza kwanza halafu ndio linatokea?

Umejaribu kuclear cache?
 
Tatizo linatokea pale ninapo Anza kucheza maana nikicheza mechi 3 au 2 game linaanza kuwa zito au kustak au kabisa kuzima mda mwingine ukilifungua Lina ishia njiani Kisha kuzima
 
Nenda setting kisha App halafu angalia angalia kwenye options hizo utaona mahala pa kuclear cache, jaribu uone kama Itasaidia.

Kwa android za kisasa unaweza tu ukahold icon ya app kisha chagua info (kialama cha i) itakupeleka moja kwa moja kwenye hio menu.
 
Ok mkuu ngoja nijaribu hivyo
 
badili simu,siyo kila simu imetengenezwa kuweza kucheza game kama hilo

waambie na wenzio wanaotumia tecno BmwQ7
 
Simu yangu Ni Infinix smart4 Ila niki download game ya dream league ukicheza utakuta Ina stuck au game kuzima kabisa sijajua shida Ni Nini msaada jamani?
Nunua simu yenye RAM kubwa kama unapenda magemu,ram ya 1 huwezi cheza heavy games
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom